Habari Mkuu na pole na majukumu!
Salamu sana kwa Wadau na wapenzi wa Timu ya Real Madrid na wadau wote wapenzi wa Kabumbu. Kwa wapenzi na mashabiki wa Real Madrid, nawaletea taswira kutoka uwanja wao wa SANTIAGO BERNABEU - MADRID.
Salamu sana kwa wadau wote, tupo pamoja daima!

Hapa nikiwa katika ukumbi wa makumbusho wa Real Madrid
Hiki ndicho kiti anachokaaga Jose Mourinho siku za gemu
Hili ndilo neshno la Real Madrid

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...