Ankal akiwa na Abdallah Ezza wa Chelsea ya Helsinki, Finland (kulia) na mdau China (pili shoto) na Mdau wa Man U kwenye fiesta la kabumbu viwanja vya Leaders Club jijini Dar
Ankal akiwa na Abdallah Ezza wa Chelsea ya Helsinki, Finland (kulia) na mdau China (pili shoto) na Mdau wa Man U kwenye fiesta la kabumbu viwanja vya Leaders Club jijini Dar




Kiongozi wa wabeba box USA upo?
ReplyDeleteumeiona bongo tambarale iyo
Wee mshamba anony umeambiwa kuna mtu wa usa hapo?
ReplyDelete..Duuh Ezzaa.Naye Alikuwepooo......>Pachaz
ReplyDeleteAnkal, hii kitu nimeipenda sana! ilikuwa nzuri sana! iwe inarudiwa kila mwaka ila Ankal, kwanini hamhamsishi timu za kwetu hapa hapa Tz nadhani kwa kufanya hivi mnaweza kuamsha hisia kwa wachezaji
ReplyDeleteAnkal umesharudi kutoka Voice of America? au upo likizo fupi? au umeshindwa kazi?
ReplyDeletemkurugezi wa wabeba boksi kaona hii issue.. angalau sasa mnaanza kusema ni real madrid ya tanzania.. sasa jamani kwanini msiite timu ya kinondoni , magomeni au temeke.. mambo ya liverpool ya tanzania au madrid ndio nini..
ReplyDeleteMichuzi amenikasirikia.. kasusa kwahiyo hakutaka kuweka posti yangu ya past.. eti wazamini
Kama ingekuwa zetu za simba na yanga isingefana hivyo.
ReplyDeleteSafi sana Ezza wakilisha wadau wa Chelsea Helsinki.Ila ungepiga na wewe uzi wa bluu umfunike Ankal kwani blue inawaka zaidi.Enjoy bongo tuletee tende huko..Mdau mwenzio wa CFC Helsinki..Mr Chelsea
ReplyDelete