Ankal akiwa na Abdallah Ezza wa Chelsea ya Helsinki, Finland (kulia) na mdau China (pili shoto) na Mdau wa Man U kwenye fiesta la kabumbu viwanja vya Leaders Club jijini Dar
Mabingwa wa Soccer Fiesta 2011 Real Madrid. Hawa wamewafunga Chelsea 5-4 kwa matuta na kutwa kombe na kitita cha shilingi milioni moja
Real Madrid wakisheherekea ubingwa wao
Benchi la Real Madrid.
Kwa mapicha zaidi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kiongozi wa wabeba box USA upo?
    umeiona bongo tambarale iyo

    ReplyDelete
  2. Wee mshamba anony umeambiwa kuna mtu wa usa hapo?

    ReplyDelete
  3. ..Duuh Ezzaa.Naye Alikuwepooo......>Pachaz

    ReplyDelete
  4. Ankal, hii kitu nimeipenda sana! ilikuwa nzuri sana! iwe inarudiwa kila mwaka ila Ankal, kwanini hamhamsishi timu za kwetu hapa hapa Tz nadhani kwa kufanya hivi mnaweza kuamsha hisia kwa wachezaji

    ReplyDelete
  5. Ankal umesharudi kutoka Voice of America? au upo likizo fupi? au umeshindwa kazi?

    ReplyDelete
  6. mkurugezi wa wabeba boksi kaona hii issue.. angalau sasa mnaanza kusema ni real madrid ya tanzania.. sasa jamani kwanini msiite timu ya kinondoni , magomeni au temeke.. mambo ya liverpool ya tanzania au madrid ndio nini..
    Michuzi amenikasirikia.. kasusa kwahiyo hakutaka kuweka posti yangu ya past.. eti wazamini

    ReplyDelete
  7. Kama ingekuwa zetu za simba na yanga isingefana hivyo.

    ReplyDelete
  8. Safi sana Ezza wakilisha wadau wa Chelsea Helsinki.Ila ungepiga na wewe uzi wa bluu umfunike Ankal kwani blue inawaka zaidi.Enjoy bongo tuletee tende huko..Mdau mwenzio wa CFC Helsinki..Mr Chelsea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...