Katibu wa Kamati ya wananchi wa Chanika Jackson Rweumbiza (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wahabari jijini leo wakati akitoa taarifa kuhusu kuvamiwa na Askari wa Maliasili kwa tuhuma za kuvamia Hifadhi ya Taifa Kazimzumbwe mkoani Dar es Salaam. (katikati) ni Mwenyekiti wa Kamati ya wanachi kutoka Chanika Peter Kanowa(kitenge) na Mtunza Hazina Imelda Nestory. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...