Kituo cha mabasi yaendayo mikoani (UBT) hususani eneo la maegesho ya abiria imegubikwa na hali mbaya ya maji kutuwama, matope kutawala na mbaya zaidi ni uwepo wa utelezi. Hii ni kwa wadau wote wanaosababisha magari ya watu yaharibike kwa mashimo,nguo zinachafuka kwa matope, Wadau mpoo? Au mpaka JK aje awakoromee ndio mrekebishe hali hii?
Mdau
Ubungo



hayani mambo tunayataka ufumbuzi wake kila leo matope kila kona ya jiji na sio kikombe cha babu
ReplyDeleteFedha tunazolipa zinakwenda wapi nyinyi watu wa Manispaa?
ReplyDelete