Habari  zinzasema  watu zaidi ya 50 wamenusurika na mauti na wengi wao kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Taqwa kupata ajali mbaya eneo la Iyofi mpakani mwa Iringa na Morogoro leo. Inadai kuwa basi hilo lilikuwa likielekea jijini Dar es Salaam.

Picha na Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2011

    Allah Kariim madereva ongezeni umakini na kuyaandaa vyema magari yenu kabla ya safari. Na siku zote mwisho wa sifa ni aibu hakuna haja ya kutaka kusifiwa kwa ufundi wa kwenda kasi bila kupima dhamana ya maisha ya watu uliyoichukuwa katika magari yenu.

    Katalambula F

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...