KUTOKANA NA WINGI WA HABARI NA TASWIRA IMEKUWA KAWAIDA SASA HABARI AMA TASWIRA KWENDA UKURASA WA PILI AMA WA TATU KWA KADRI HABARI NA TASWIRA MPYA ZINAVYOINGIA, AMBAKO HAIMAANISHI ASILANI KWAMBA HABARI AMA TASWIRA IMEONDOLEWA. NI KWAMBA IMESOGEA TU KWENDA KATIKA KURASA ZILIZO NYUMA.

HIVYO BASI, KWA KUPATA HABARI KATIKA UKURASA WA PILI AMA WA TATU NA HATA WA NNE NA KUENDELEA, BOFYA MAANDISHI YASOMEKAYO 'HABARI ZILIZOPITA' CHINI KABISA KULIA ILI KUFUNGUA UKURASA WA UNAOFUATA. BOFYA TENA NA TENA KATIKA MAANDIKO HAYO ILI KUFUNGUA KURASA MMOJA BAADA YA MWINGINE, HATA KWA SIKU MOJA TU.

KWA YULE ANAYETAKA KUTAFUTA HABARI KWA JINA AMA TUKIO, ANDIKA HILO JINA AMA TUKIO NDANI YA NAFASI ILIYO JUU KULIA YENYE MAANDIKO 'TAFUTA CHOCHOTE HAPA' NAWE UTAFANIKIWA. MFANO UKIWA UNATAKA HABARI ZOTE ZA CRDB ANDIKA NENO 'CRDB' KWENYE KINAFASI HICHO NAWE UTAPATA HABARI ZOTE NA TASWIRA ZA CRDB ZILIZOMO HUMU. BOFYA 'HABARI ZILIZOPITA' KUTAFUTA HABARI AMA TASWIRA ZA AWALI ZA CRDB UNAZOZITAKA.

TUMELAZIMIKA KUTOA UFAFANUZI HUU SABABU BAADHI YETU TUNAISHIAGA UKURASA WA KWANZA TU KWA KUDHANI LABDA HABARI AMA TASWIRA ZIMEONDOLEWA. KUMBUKA HABARI HAIONDOLEWI BALI INAHAMIA TU KURASA ZINAZOFUATA AMBAZO ZINAPATIKANA BILA TATIZO KWA KUBOFYA 'HABARI ZILIZOPITA'.

VILE VILE LIBENEKE LA GLOBU YA JAMII LINAPATIKANA PIA KATIKA TWITTER, YOUTUBE NA FACEBOOK. UKIANGALIA JUU KULIA UTAKUTA ALAMA YA HUDUMA HIZO. BOFYA ALAMA YOYOTE UENDELEE KULIBENIKA BILA KELELE WALA MIKWARUZO.

LIBENEKE OYE!
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2011

    Nimefurahi kwa kuufanyia kazi ushauri wangu wa "ukurasa unaofuata" badaa ya "habari zilizopita". mmedhihirisha kuwa huu ni mtandao wa jamii. kila la heri. hata hivyo, kaka michu pole kwa vipigo mfululizo. dalgish alikuwa anafaa kwa udeiwaka tu. mmempa kazi tu, libeneke la vichapo kama kawa. kumbe liva ni timu ya madeiwaka tu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...