Jerryson Tegete wa timu ya mkoa wa Mwanza akijaribu kumpita beki wa timu ya mkoa wa Arusha wakati wa mchezo wa robo Fainali ya pili ya michuano ya kili Taifa Cup 2011 inayofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo. Mwanza ilishinda 2-1 na kutinga robo fainali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...