![]() |
Mdau Anita Mungai-Rumadha na mai hazbendi wake Sensei Rumadha Fundi (shoto) na kazin wake Kitova Mungai baada ya kula nondozzz ya Social Work Chuo Kikuu cha University of North Texas |
Profesa wa Anita anaungana nao na marafiki katika picha ya pamoja
Anita na Rumadha wakiwa watoto wao Ruani na Iman
Ndugu, jamaa na marafiki wakifurahia nondozzz ya Anita
Anita akiwa katika foleni ya kwenda kuchota nondozzzz
Hongera dada Anita
ReplyDeleteHongera sana Sister Anita, Pia hongera mjomba Romi Nondo zimekubali na picha zimependeza sana!!!!
ReplyDeletepamoja na hayo yote mimi niupenda huo MWANYA wake. hmmm
ReplyDeleteHongera da Anita , sasa hii ilikuwa masters au PHD?
ReplyDelete