Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei, akizungumza na wakulima wa korosho wa wilaya ya Mkuranga wakati wa kongamano la kutathmini biashara ya korosho lililofanyika wilayani mkuranga mkoa wa Pwani.Benki hiyo imewakopesha wakulima hao zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 4 kwa msimu wa mwaka 2010/2011.
Wakulima wa korosho wa wilaya ya Mkuranga wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei.
Naibu waziri wa nishati na madini Mh.Adamu Malima (MB)(kushoto), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (Kulia) wakati wa kongamano hilo. Nyuma yao katikati ni Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Bi.Tully Mwambapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...