Suzy akiwa na Maria
Mzaham na Jamil
kwa picha zaidi
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi mitindo Hafai Seattle Most of the time nimvia na baridi, na wa-Africa hapa America hawavai nguo za kwao, utawakuta na Nike,addas, shopping ni Walmart, JCPenny, Ross, maces etc. Huyu mwana mitindo ametageti pabaya angefanyia lets say katika chuo hapa UW siku ya utamaduni angeuza vibaya Sana. Na wanunuzi si wabongo. Mama mumjoa toka Rwanda alionyesha mavazi na had made arts crafts aliuza $7,000 one night. So I suggest you do your homework on who to target, Wabogo hujaa kwenye minuso kama hii basi…. Haya maoni yangu
ReplyDeleteHiyo picha ya pili toka chini na we Michuzi unakuwa kama sio Mwandishi Mkongwe aliebobea bwana!?
ReplyDeleteSasa unaposema tu Suzi na Maria bila kuelezea kama yupi ni yupi alie kushoto au kulia, sie tutajuaje yupi ni yupi?
Wacha hizo Mwanangu!
Nimeipenda hii nguo, picha ya tatu kulia, kitenge alichovaa mdada chenye picha ya baba wa taifa...Au ndio vazi la Taifa?!
ReplyDeleteVizuri sana
Je nguo za ufukweni za kanga zipo?
ReplyDelete