Yes Reggae Massive ..Wakali wa matamasha ya reggae nchini wanawaletea tamasha la kumuenzi Mfalme Wa Reggae BOB MARLEY
Tamasha hilo litafanyika siku ya j moss tarehe 21 May 2011 ndani ya HUNTERS BEACH-KIGAMBONI
Katika kunogesha maazimisho hayo kutakua na maonesho ya kazi za sanaa asilia ambayo yataanza saa sita mchana na baadae ikifwatiwa na live performance kali kutoka bendi za wasanii mahiri wa Reggae wakiwemo
JHIKO MAN and AFRIKABISA BAND,MZUNGU KICHAA,RAS NGWANDUMI ,BUMMIJAH,RAS MIZIZI na MACHIFU BAND.Pia Kutakuepo na mshindi wa tunzo ya msanii bora wa reggae nchini,HARD MAD. Bila kusahau Surprise show kutoka kwa wasaani waalikwa.
Kama hiyo haitoshi…zitapigwa mixing kali za reggae kutoka kwa Reggae djs Mahiri akiwamo JA BLAZE,CRUCIAL YUSS along side KAKA MALIK
Kumbuka ni tarehe 21 May ndani ya HUNTERS BEACH-KIGAMBONI na tamasha litaaza toka sa sita mchana mpaka majogoo.Ebaneeee..hii si ya kukosa.Tamasha hili limezaminiwa na 100.5 TIMES FM,TANZANIA RASTAFARIAN MOVEMENT na JAHRO SOUND
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...