Karibuni katika kumbukumbu ya hayati marehe Bob Marley Bingwa wa music ya Reggae
Ambaye alifariki Dunia mwezi wa May tarehe 11, ni ndani ya week hii..
Basi tunapenda kuwa karibisha katika siku ya Ijumaa ndani ya Ukumbi wa
Lakke gate skole 79B,
Mjini Oslo, Norway

Tutakuwa na vyakula vya kiswahili na Bongo Flavaz Record...
Na madj wa East Africa Djs, Humfrey+ Mark Ten a.k.a Yusuf & Uncle Pred...
Kuanzia saa: mbili Usiku mpaka majogoo nyote mnakaribishwa
Kiingilio ni 100 kr.

Contact- 988 78 361
or

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...