Home
Unlabelled
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovic Utoh, aongea kuhusu tuhuma za ufisadi TANESCO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TZ HAKUNA MTU ALIYEHAKI KUONGELEA HABARI ZA UFISADI MAANA WATZ NYOTE WEZI. KAMA SI WEZI WA MALI YA UMMA NI WEZI KWA WAAJIRI WAO....UTOH NAYE HUTUMIA VIJANA WAKE KUTENGENEZA MAUWONGO WAKATI WAKIKAGUA MASHIRIKA YA UMMA...AMBAYO MWISHOWE HUKOSA USHAHIDI...LA KAMA UWONGO HUO ULIKUSUDIWA UTENGENEZEWA USHAHIDI WA UWONGO SAWIA....NAYE ACHUNGUZE OFISI YAKE KWANZA.
ReplyDeletesiku huzi ukaguzi umepoteza mwelekeo hasa wa mzee utoh. sasa hivi hawaangalii kama hesabu zimekaa sawa na yanakidhi kiwango lahasha wanaangalia wizi tu! na wakifika ofisini ambaopo wametumwa kukagua utafikiri wameenga kukamata majambazi....hiyo mikwara utachoka mwenyewe.
ReplyDeleteNadhani kuna haja ya kuwaelekeza hawa vijana wake namna ya kufanya ukaguzi na namna ya kuaproach wanaowakagua..Kuwa mkaguzi wa sarikari si tiketi ya kunya nyasa wakaguliwa.
Sasa hii ripoti kwanini ije leo tena. Kwasababu hutaki waandishi waendelee kuandika au ndio ushapewa DENGELUA
ReplyDeleteMdau wa 07:04 AM umesema ukweli kabisa. Yaani ni lazima wakutafutie kosa NA LAZIMA ZITAKUTOKA (tusidanganyane).
ReplyDelete