Wakuu wa wilaya za mkoa wa kagera wakati wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Kagera mjini Bukoba. Toka kushoto ni mkuu wa wilaya ya Biharamulo Kahindi, Issa Njiki wa Misenyi, Halima Nyembo wa Chato, Angelina Mabula wa Muleba na Fabian Massawe mkuu wa wilaya ya karagwe.
Mkuu wa mkoa wa kagera Mh. Mohamed Babu akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Kagera kilichofanyika jana katika ukumbi wa mkuu wa mkoa uliko katika manispaa ya Bukoba. Toka kushoto ni meneja wa TANROAD wa mkoa wa kagera Bw. Johnny Kalupale na katikati ni katibu tawala wa mkoa Bw. Nassor Mnambila.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...