
*We are located at Shekilango road, Sinza Madukani,
Dar es salaam
*We rent per square and per floor with wide road
*We have standby generator
*We have sufficient parking space
*Security is also available
*Fantastic view of the financial core
flexible lease terms available
*For additional information and viewing
call
+255 767 200002 or 714 868586


.....................Arsenal utawajua tu !
ReplyDeletehebu tuonyeshe parking yako....Eneo lenyewe tunalijua unataka kutuhamisha nini? kwa upande wa kusini huku nipo nauza nyumba yangu upate parking space. la utalijua jiji.
ReplyDeletevipi mbona hakuna picha zakuonyesha madhari ya chini au ndio kusema mnapangisha gofani tu!
ReplyDeleteMliopo usa au ulaya mrudi kuwekeza sio maneno Tanzania kuna nafasi nyingi za benki na miradi mingi tu.
ReplyDeleteTusiwe tunalamika na kuwaambia wenzetu wanaosema ni wajasilia mali unawaambia Tanzania hakuna hela Tanzania kuna nafasi nyingi za kujiendeleza ili mradi uwe na kianzio yaani uwe na shughuli inayoingiza pesa sio utoke USA AU ULAYA UKAUZA SERA watakuangalia na kukupa masharti kibao mwisho wake utasema Tanzania hakufai kufungua account matatizo kumbe ulienda kuuza sera