Home
Unlabelled
gado on the royal wedding....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
PICHA hadi chumbani, hiyo si ndoa bali sinema bubu.jamani!watu wapen faragha wana-ndoa,do!
ReplyDeleteGado, duu! hii kali
ReplyDeleteHeeee nimecheka na kukumbuka documentary niliyoona kuhusu harusi ya Louis XVI na Marie Antoinette. Ilikuwa ndiyo kama hivyo lakini enzi zile hakukuwa na camera. Wakati wa kujifungua raia yo yote alikuwa na uhuru na kuangalia jinsi malkia alivyokuwa akiteseka.
ReplyDeleteHii inaendelea mpaka sasa ijapokuwa kwa ustaarabu kidogo.