Toyota Corolla SE110,Year 1997,Silver color,Petrol,cc 1800,AC,Radio and CD player.

Very good condition.
Price 5.5 Mil. (negotiable).

Dalali hatakiwi. Serious buyers only
call 0652583016 or 0763822226.

Ubavuni.

Nyuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2011

    utamuuzia nani hiyo corola ya 97 !! kaazi kwelikweli

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2011

    kha !! kagari kamechoka hivo mil 5.5 ?

    kweli bongo kiboko
    wajinga waliwao

    hicho kigari ni cha kuuza 1.5

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2011

    eti dalali hatakiwi !!! mimi ni dalali na sitaki kuuza gari kama hiyo ...duuhhh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...