HAYA HAYA SI WENGINE NI WALE WALE WA MAMA WA JIJI LA AMSTERDAM JIJI LA MARAHA LISILO NA KARAHA WAMEKUANDALIA GET TOGETHER PARTY SIKU YA 28-05-11 NI KINA MAMA NA KINA DADA TU. HAPO NI FULL KUJIRUSHA, MAMBO YA KIBAO KATA BOLINGO NA R&B PIA ZITAKUWEPO KIINGILIO EURO 20 PAMOJA CHAKULA. KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA AUNT JEMIE AUNT SEKKY NA MEVROUW ROSE WOTE MNAKARIBISHWA.
Home
Unlabelled
get together kina mama na dada wa amsterdam mei 25, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



weeee Mie lazima nije nitakuwa nachungulia kwa nje najuwa mbende mbende zitakuwa waziiiiiii
ReplyDeleteMdau ya nini uchungulie nje wakati hao ni wenzio?
ReplyDelete