Home
Unlabelled
walinzi wana kazi gani??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo chacha !!! sema wewe tukisema sisi tutaambiwa wanafiki, yaani sehemu zote mabango ndo hayo then walinzi wako pembeni wanapiga stori, walinzi ndo wezi wenyewe mithupu
ReplyDeleteAT your vehicle.....bongo na vingereza hivi tabu kweli kweli. Hapo wanamaanisha kwenye gari au ndani ya gari?
ReplyDeleteOur English teacher used to tell us...
ReplyDeleteYOU CANT THINK IN SWAHILI AND EXPRESS YOURSELF IN ENGLISH
Aibu bin fezeha nchi imejaa wanajeshi na mapolisi kula kulala raia hawana amani ukiwa kwenye nyumba unaogopa kuibiwa ukiwa kwenye gari unaogopa kuibiwa....Amani gani iliyopo hapo bongo? huku wenzetu wanalala milango wazi bila wasiwasi. shame on tanzania.
ReplyDeleteHii ni hoteli yenye kiwango cha 'kitalii' lakini umeandikiwa hivyo.
ReplyDeleteUnachajiwa karibu Sh. 40,000 kwa kichwa kwa siku (conference charges) halafu sijui uende na walinzi kulinda magari ya wataohudhuria kwenye mkutano?
Mukishindwa na wahindi halafu mulalamike eeeeee tunaonewa, maana White Sands hakuna vitu kama hivi.
acheni ujinga nyine DUnia nzima ndio hivo hivo na unalipa hela zaidi ya hizo,tena huku ndio maparking mabovu hasa,na hela kibao,Hela inayolipwa inachangia kuimarisha mandhari na misaada kwa watu wengine Hayo dunia nzima ni sawa sawa hasa ndio yanavoandikwa mabango hata ya ndani ya hoteli
ReplyDeleteWewe Anonymous Sun May 22,09:18:00PM, kama ume kurupuka vile. Hayo unayojifanya yapo dunia nzima ni yepi, Kwa kawaida hayo mabango ni geresha kama gari litaibiwa au kuharibiwa katika eneo la hotel basi moja kwa moja hoteli hutakiwa kulipa gharama hiyo, na limejionyesha wazi wakikupa tahadhali usiache vitu vyenye thamani ndani ya gari kama wakuambiavyo ndani ya chuma cha hotel wakati haupo. Hii ndio hupelekea mahotel kuwa na bima za General or Public liability ambayo hulipa hasara kama jizi.
ReplyDelete