Meneja Mtendaji wa Taasisi ya Computer Zentrum ya Ujerumani, Bw. Hans-Joachim Karl (kulia), akitoa maelezo ya jinsi alivyotengeza kwenye mtandao kamusi za lugha za Kiswahili-Kijerumani wakati wa manesho yaliyofanyika sambamba na Mkutano wa Elimu Mtandao Afrika jijini, Dar es Salaam.
Picha na Kamanda wa Matukio Richard Mwaikenda
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...