Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete, akimkabidhi zawadi mke wa Waziri Mkuu wa India, Gursharam Kaur, Ikulu Dar es Salaam,  Mke huyo wa Waziri Mkuu alitoa msaada wa sh. milioni 15 kwa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Mke wa Waziri Mkuu wa India, Mama Gurmashar akiwa na Mama Salma Kikwete, Waziri wa Uwezeshaji, Mary Nagu (kushoto), pamoja na mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa. Picha na Anna Nkinda-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...