Kama kawaida keep left iliyozuka katikati ya barabara ya Chole jijini Dar, karibu na International School of Tanganyika, inaendelea kutesa kwa wiki ya nne sasa na wahusika wanasubiri Waziri Mkuu aje afungue. Handaki hili ni moja tu kati ya mengi yaliyoibuka karibu kila kona ya jiji hili na hakuna anayejali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2011

    teh kaka sio la kushangaa hilo, wanasubiri mpaka JK au PINDA waseme,..mi nafikiri bora hiyo ya huko masaki...kuna ile KIPI LEFT ya pale BUGURUNI we acha tuuu tayari gari 2 zishapiga mweleka, gari zaidi ya 15 zinakufa pale pale.........yaaan ukibugi tuuuu ukaingia UMEUA GARI YAKO......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...