Mkurugenzi wa Manywele Entertainment Maimartha wa Jesse (kulia) na wasaidizi wake wakiwa katika fremu itakapokuwa saluni atayozawadiwa mshindi wa shindano la kucheza muziki wa African Stars band la Kimwana wa Twanga Pepeta litalofanyika usiku wa leo katika Club Sun Ciro huko Sinza Shekilango jijini Dar. Saluni hiyo iko kinondoni Studio
Ni wakati wa lala salama na Maimartha wa Jesse akiwafunda washiriki wa Kimwana wa Twanga Pepeta wanaojifua kila siku makao makuu ya ASET Kinondoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...