Mbunge wa jimbo la Kalenga,Dr wiliam Mgimwa (katikati) akipongezwa na wanafunzi na walimu wa Shule ya Sekondari ya Lyandembela iliopo Jimbo la Kalenga,mkoani Iringa mara baada ya kukabidhi madawati shuleni hapo.
Mbunge wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa, Dr.Wiliam Mgimwa akiandika hundi yenye thamani ya Tsh.Milioni 1 kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya Shule ya Msingi Kibaoni iliopo ndani ya Jimbo lake.
Mbunge wa jimbo la Kalenga, Dr Wiliam Mgimwa akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibaoni hudi yenye thamani ya Tsh. mil. 1 ikiwa ni sehemu ya kuchangia maendeleo katika Shule hiyo.


Huo si msaada, wananchi walimchagua ili alete maendeleo jimboni kwake, so he is just doing his job.
ReplyDelete