"ASSALAM ALEYKUM" 
Familia ya Sheikh Yahaya Hussein Karanda iliyopo UK inayo furaha kuwaalika ndugu jamaa na marafiki Katika Kisomo ( Hitma)   kumuombea mpendwa Ndugu yetu Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Aliyefariki Dunia Tarehe 20/5/11 mjini Dar es salaam, Tanzania. 
 Kisomo kitafanyika  Mjini Coventry  UK, Jumapili Tarehe 29/5/11 Saa 8 (Nane) mchana katika ukumbi ujulikanao kama; 
COVENTRY MUSLIM RESOURCE CENTRE, 
RED LANE, 
CV6 5EE, 
WEST MIDLAND. 
Kufika kwako ndio ukamilifu wa shughuli hii.
Pia tunaomba tuzangatie muda. Kwa maelezo zaidi piga namba hizi; 07424667297, 07424066554, 07466656107. Ahsanteni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...