Home
Unlabelled
kwa wale wenzangu na mie ambao hatukucheki gemu jana,hivi ndivyo ilivyokuwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mambo vipi anko michuzi kwanza nawapa pongezi bascelona kwa kutoa ubingwa na kutuonesha kandanda babu kubwa na nawapa pole manchester kwa kufungwa 3-1 na kufundisha ball ya uhakika lazima faga ajifundishe kwa barcelon.
ReplyDeleteKwa ball possession ya 67 kwa 33 magori matatu honestly hayakutosha! Barca walitakiwa wavune sichini ya magori 8. Kwa kifupi Barca is the best team of the century!
ReplyDeleteMichuzi mbona unatoa mara ya 4 tunajua kama Man u tumefungwa na Best in the world hata kama wewe ungetia timu yako ya LIVERFOOL ungefungwa, kwani kwa sasa hakuna timu in EUROPE inayowaweza hawa jamaa kwa hiyo hata ukisema huo ndio ukweli tu.
ReplyDeleteANKAL,HABARI ZA KAZI NA ENDELEA KUPOST HIZI COMMENT, HAWA JAMAA UTD NI HOVYOOO KABISA,WAMEZOA KUBEBWAAA,HAPA UK WATAPETA SANA KWA KUBEBWA, LAKINI WAKITOKA HAPA MBEREKO FULLSTOP.............WALIOMBA SANA WAPATE KISINGIZIO CHA RED CARD LAKINI HAKUNAAAAAA.....FITNA YOTE KWISHNEEE
ReplyDeleteMan wanajuwa kucheza chumbani tu wakitoka nje wanapigwa makonzi kama watoto wadogo timu ina wapenzi wengi wanaoipenda kutokana na kufata rangi ya jezi wengine wanafata mkumbo tu hawana lolote wanaume wa ukweli wamewaonyesha mpira wa kikweli kudadadadeki macelona 4 real.
ReplyDeleteMichuzi mboo hujaweka magoli ya barcelona, ilo goli la rooney burgundy mboo hata striker wa timu ya wanawake ya kill star anaweza funga. Enyeweii, it was a big disgrace to the english premier league for bingwa mtetezi kuadabishwa kiasi hicho.
ReplyDeleteDu Pablo?
ReplyDeleteArsenal Pekee ndo wanaweza wasimamisha hawa 11/11!!! Walijiandaa na ukumbi, suti, wake zao na watoto wote walivalishwa jezi! Sasa night dogo wa Rooney anamuuliza Daddie y don't we gon to party? hakuwa anawatch game, mzee kafyum balaaa!!!!!
ReplyDelete