Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma,Hab Mkwizu akifunga mafunzo ya wiki moja kwa watendaji waandamizi wa Serikali jinsi ya kusimamia vizuri miradi ya umma kwa manufaa ya jamii nzima jana mjini Bagamoyo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma Hab Mkwizu (katikati) akitoa cheti cha kuhitimu mafunzo ya wiki moja kwa watendaji waandamizi wa Serikali jinsi ya kusimamia vizuri miradi ya umma kwa manufaa ya jamii nzima kwa Mkurugenzi msaidizi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Jinsia na Maendeleo ya Jamii Chrizostomu Lushiku.Wengine ni Mkufunzo wa Mafunzo hayo kutoka Uingereza Ralph Naylor(kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mafunzo kutoka Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma Elisante Mbwilo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma Hab Mkwizu (katikati) akitoa cheti cha kuhitimu mafunzo ya wiki moja kwa watendaji waandamizi wa Serikali jinsi ya kusimamia vizuri miradi ya umma kwa manufaa ya jamii nzima kwa Mkurugenzi msaidizi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Jinsia na Maendeleo ya Jamii Mhandisi John Njau.Wengine ni Mkufunzo wa Mafunzo hayo kutoka Uingereza Ralph Naylor(kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mafunzo kutoka Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma Elisante Mbwilo.
Watendaji waandamizi kutoka Idara , Mashirika ya Umma na Wizara mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma Hab Mkwizu (wa pili kutoka kulia) jana mjini Bagamoyo mara baada ya kufunga mafunzo ya wiki moja kwa watendaji hao juu ya kusimamia na uendeshaji mzuri wa miradi ya umma kwa manufaa ya wananchi wote.Picha na Tiganya Vincent, Bagamoyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...