Oops! Google Chrome could not connect to olas.heslb.go.tz
Try reloading: olas.heslb.go.tz
Additional suggestions:
· Access a cached copy of olas.heslb.go.tz
· Go to heslb.go.tz
· Top of Form
Search on Google:
hii message unakumbana nayo kila mara kutoka page moja kwenda nyingine, mimi nilikomaa kwa siku ya jana mpaka nikafika page hii
Application Fee Payment Details Update
Applicants MUST provide TRUE INFORMATION for the fee payment. This information shall be counterchecked with Mobile Payment Systems. Provision of FALSE or FORGED information is a CRIMINAL OFFENCE. ANY ATTEMPT to cheat may result into being DENIED A LOAN as well as facing LEGAL ACTION.
Service Provider *: |
|
Transaction Id *: | |
Amount Paid *: |
|
Your Password *: |
* means MANDATORY Field
hapa si nikajaza detail nilizokuwa nazo za M-Pesa, baada ya attempt kama tano ikafanikiwa kuload he!!! baada ya hapo si ndo nikastack message iloniletea ndo hii
A Database Error Occurred
Error Number: XXXX
Duplicate entry 'XXXXXXX' for key 2
INSERT INTO `feepayment` (`pdate`, `provider`, `amount`, `transid`, `registerid`) VALUES ('2011-05-04', '1', '2', 'XXXXX', 'XXXX')
hapo kwenye XXXXX nimetoa details isije ikala kwangu
ikiwa mimi napata matatizo kama haya nikiwa atleast nina idea na hii technologia wale wenzangu je kama tatizo ni server capacity iongezwe au kama ni transmision ifanyiwe marekebisho
mdau DSM
yaani hauko peke yako,tangu juzi najaribu kujaza nashindwa.jana wakasema mtandao uko kwenye marekebisho, kwenye sehemu ya kuchagua mkoa haitoi options za miji.ilimradi karaha tuuuu..muda unaenda,watu hatufanikiwi kujaza..wahusika hebu waangalie hili swala
ReplyDeletebadili browser!!
ReplyDeleteJaribu kutumia browser nyingine. Nimejaribu kuingia kutumia IE9, safari, na mozila fox ili kuangalia imeingia bila matatizo. Jaribisha kutumia browser nyingine labda utafanikiwa.
ReplyDeletemdau uliyepata kwikwi yani mdogo wako anaingia chuo kikuu haweza kujaza maombi ya mkopo online?? Kazi ipo!!? Hii inaonyesha ni jinsi gani elimu ya tanzania ilivyo duni!! Sijui kama ataweza kushindana duniani maana sasa watoto wa chekechea kwenye nchi zilizoendelea wanafanya mtihani online
ReplyDeletetatizo mtandao unazingua,sio kwasabau watu hawajui kutumia computer!!nimejaribu chrome,safari,explorer tec zote zinanipa tatizo hilohilo,hata computer piz nimebadilisha lakini tatizo haliishi
ReplyDeleteHapo kuna tatizo la system (A Database error has...), yaani kuna bug. Programmer alisahau kuchek kama mtumiaji atajaribu kuingiza details zilezile mara 2, ndo maana zinatokea message za kwenye database. Kilichotokea ni kwamba ulipo-reload(refresh), data zilikuwa zimeshatumwa na baada ya ku-reload zikaenda tena. Ilitakiwa programmer aonyeshe kuwa umeshafanya transaction. Sio ishu saana maana ndo kwanza system inaanza kufanya kazi, ni kawaida kwa software zozote kuwa na bug (hata za 'famous' Microsoft).
ReplyDeleteUsijali sana maana kwa mujibu wa huo ujumbe ni kwamba taarifa zako zimeshahifadhiwa kwenye database ya OLAS.
Tatizo la awali (Ooops Google chrome...) linasababishwa na aidha poor network connection (net inakata mara kwa mara), server ya OLAS iko busy sana,au tatizo la browser, Unaweza pia ukapata same msg kama umekosea address (which is not the case presently).
Suluhisho ni moja: kwa bodi kuongeza download speed kwenye server(OLAS), watumiaji wajaribu aina nyingine za browser (e.g Firefox,Opera), na kutumia network reliable connection (mfano kwa walio dar wanaweza kwenda posta mpya azikiwe-net ya posta ni nzuri).
we mdau hapo juu acha upuuzi na dharau.mwenzenu kaomba msaada baada ya kusumbuka na hiyo blog,badala ya kumsaidia wewe unaanza madharau yako,ndiyo tukuone umeendelea wewe,aah aibu yako.
ReplyDeleteBig up kwa wote mliotoa mawazo mazuri huenda akijaribu browser tofauti yaweza saidia.
mimi kinacho niuma ni ninapo kumbuka uzinduzi wa mkongo sijui mkonga,.. wa masiliano zilotolewa ahadi na mbwembwe kibao na mkuu wa kaya.., nafikiri ni mwaka sasa umepita toka uzinduzi lakini kasi ya internet kila siku ni afadhali na jana... wadogo zetu wana hangaika kujaza fomu za mkopo za kuomba chuo wanatumia gharama kubwa kwenye mainternet cafe,.. dah jamani hivi nani katuroga ?
ReplyDeleteAsante mdau ulietoa maelezo ya kiutaalam. Nasi tusikatishe tamaa taasisi zetu zinapojaribu kupiga hatua. Tunapohitaji kupiga hatua fulani ni lazima tuanze sehemu fulani ambayo tunaamini wakipata maoni yaliyo bora tutasonga mbele badala ya kusema hiki hakifai.
ReplyDeleteUnayesema watoto wadogo wanajua computer fikiria tena na tena ulikotoka usifikiri hao wamefika tu huko juu hadi watoto wao wadogo wanajua wanachojua. Hata tukikuuliz umetoka wapi na huko kijijini kwenu ni watoto wangapi basi umewasaidia watumie computer kufanya mitihani. TUNAHITAJI TUKUSAMEHE MAANA HUJUI ULISEMALO!! POLE SANA
huyo ana ulimbukeni wa kukaa nje ya Tanzania
ReplyDeleteJamani nikifanya registation napata hii message nisaidieni tatizo linaweza likawa ni data nilizoingiza au OLAS
ReplyDeleteA Database Error Occurred
Error Number: 145
Table './olas/users' is marked as crashed and should be repaired
SELECT * FROM (`users`) WHERE `f4indexno` = 'S5222.0001.2011' LIMIT 1