Lotus, mshiriki wa Big Brother Amplified aliyeenguliwa baada ya kumtia makofi mshiriki toka Sauzi akiliwa konozzzzz na ankal baada ya mahojiano yao ya ana-kwa-ana muda mfupi uliopita hoteli fulani jijini Dar. Maelezo kamili na video ya mahojiano hayo vinaandaliwa. kaa chonjo kujua kilichomsibu kutoka mdomoni mwa farasi....
Lotus na Barbra Kambogi, ofisa habari wa DSTV Tanzania, wakiangalia video kamera maalum ya ankal
Ya lets wait to hear something "FROM THE HORSE'S MOUTH"
ReplyDeleteMichu naomba contact zake, nimekuwa nikimfuatilia BBA ningependa kumbeba kabisa kama atanikubali.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Lotus ameniudhi, tena sana sana tu! Kwanini amempiga kikofi kidogo, ilikuwa amcharange Luclay kisawasawa.
ReplyDelete