
TAJIRI WA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIMUITA MBWANA SAMATTA KUMTAMBULISHA RASMI KWA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU HIYO. SAMATTA AMENUNULIWA NA TP MAZEMBE KWA DOLA LAKI MOJA TOKA KWA WEKUNDU WA MSIMBAZI, SIMBA SC

MBWANA ALI SAMATTA AKIMWAGA SPECH KWA MASHABIKI WA TP MAZEMBE.

MBWANA ALI SAMATTA AKIWASILI UWANJANI KWA ULINZI MKALI.

RAISI WA TIMU YA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIWASILI UWANJANI KUMTAMBULISHA SAMATTA KWA MASHABIKI WA TIMU HIVYO.
KWA HABARI ZAIDI NA PICHA ZA MICHEZO MTEMBELEE SHAFII DAUDA


Jamani uwanja hauna hata majani?
ReplyDeletetatizo moja ni uvaaji wake especial hayo malapa... kwa special day kama hiyo alitakiwa awe ametunga suti..
ReplyDeleteLabda ana fungus... Ndio maana akatinga malapa!
ReplyDeletehiyo malapa imemfanya achukize dah! hana washauri jamaa? zaidi twamtakia kila la heri atuwakilishe vema!
ReplyDeleteEti suti wakati mwenye timu mwenyewe hajavaa hiyo suti, uwanjwa vumbi
ReplyDeleteShaffii namjua uzushi wake. Hii ni event ambayo haikuwa special kwa Samatta kama anavyotaka ieleweke, bali Samatta mwenyewe kachomekewa tu ndo maana kaja na malapa aliyotoka nayo uswazi. Shaffii, huo u-Simba utakuharibia profession.
ReplyDeleteNdugu yangu umesema Ukweli kuhusu Shafii! jamaa anasahau taaluma kabisa. au hajui maadili ya kazi zake. punguza ushabiki kwa Simba ndugu yangu. unaboa kweli. ukiona vipi omba kazi ya usemaji ili uwe hadharani kama wenzako. Ila dogo Samatta tunakutakia kila la kheri. usije ukarubuniwa kama mwenzako mmoja aliyepata timu bora na maisha mazuri akatoroka kurudi Bongo. wewe ndio imeshatoka. pambana ndugu yangu ili tuweze kuwa na nyota wa ukweli wa Tz.Mungu akubariki.
ReplyDeleteWabongo siku zote mnaponda kwani angevaa suti ndio angefunga magoli checkini hiyo nyomi ilyokuja ku msurport huku atuwezi fanya hivyo zaidi ya majungu kama hayo hapo juu
ReplyDeleteWatanzania kwa mambo ya kudhaniadhania hatujambo sana, halafu tunafanya kuwa ndio ukweli wenyewe!.. Huo uwanja huko kwenye matengenezo ndio maana unaona kuna vumbi. Acheni ushamba!!!
ReplyDeleteMimi.
Nadhani mnaweza ona hata hao waliojishika mikono ni mafundi wakiwa na kofia za ufundi kujenga huo uwanja..
ReplyDeleteMimi.