Fomu ya wachezaji iliyokuwa ikitumika katika mashindano ya Copa Coca Cola ngazi ya mkoa,yenyewe ikiwa ni fomu ya wachezaji kwa ajili ya ligi daraja la kwanza ya mwaka 2008/2009. Hii ndiyo hali halisi ya jinsi uongozi wetu wa mikoa wasivyo tilia maanani mashindano mbalimbali, hata haya yenye udhamini mkubwa...
Askari polisi ambaye jina lake halikufahamika mara moja alipogeuka kocha wa hiari kwa timu ya wilaya ya Rombo.
Timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya wilaya ya Moshi vijijini.
Timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya wilaya ya Hai
Timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya wilaya ya Siha.
Timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya wilaya ya Rombo
Timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya wilaya ya Moshi mjini ambao ndio walioibuka kuwa mabingwa. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...