Mark Band wakikupa 'Harusi' ya Patrick Balisidya na Afro 70 katika mnuso fulani jijini Dar. Wakali hawa wanapatikanaga Sea Cliff Hotel kila Jumatano na Alhamisi jioni, Jumapili wapo Kempinski mchana ukiwataka kwenye shughuli yako hutojuta maana ni hatari kwa sauti na upigaji ala chini ya mkongwe Saidi Pembe.
Contact zao Bofya hapa
ama nenda
http://www.markafricaband.co.tz/
Contact zao Bofya hapa
ama nenda
http://www.markafricaband.co.tz/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...