Mwenyekiti wa taasissi  ya WAMA mama Salma Kikwete(pili kushoto) Mkuu wa mkoa wa Dodoma James Msekela,Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Ronald Sibanda pamoja naBalozi wa kupambana nanjaa nchini Reginald Mengi (kulia) wakiwa katika matembezi ya kuchangia chakula mashuleni mkoani  Dodoma leo. PICHA NA  MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...