Baadhi ya marafiki wa  Marehemu Mazembe  Joseph Nyerere waliotoka Dar es Salaam hadi Butiama kwa ajili ya kumzika rafiki yao
Picha ya Mazembe ikiwa katika jeneza muda mfupi kabla ya heshima za mwisho kijijini butiama 
Mama Maria Nyerere akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mazembe. Kulia kwake ni Jaji Aisha Nyerere
 Ndugu zake Mazembe wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi


Mwili wa Mazembe ukishushwa kaburini kijijini Butiama.
Picha na mdau Manyerere Jakton, Butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...