Mdau Wilbert MAhenge akiwa na advisor wake Prof. Horace G. Campbell (Mwandishi wa "Rasta and Resistance," "Reclaiming Zimbabwe" na “Barack Obama and 21st Century Politics. A Revolutionary Moment in the USA”.
Mdau Wilbert Mahenge baada ya kula nondozzz yake ya Masters in Pan African Studies Chuo Kikuu cha Syracuse University, Syracuse, New York akipozi na Prof. Micere Githae Mugo (Mwandishi wa “The Trial of Dedan Kimath” akishirikiana na Ngugi wa Thiong’o)
Mdau Weilbert Mahenge akifurahia nondozzz yake
Mdau Hongera kwa kula nondoz. Nimefurahi sana kumuona Horace Campbell, alikuwa rafiki mkubwa sana wa familia yetu ila sikumsikia siku nyingi sana. Tafadhali mpe salamu zangu nyingi sana mwambie Cabral wa Koroshoni Rd, Mlimani.
ReplyDeleteHongera sana mdau Mahenge kwa kula Nondozi
ReplyDeleteNitakucheki kwenye simu
MAKULILO
Hongera Wilbert. Hongera wazazi na nduguzo kwa kuweka Msingi imara wa Elimu kwako. Yanga Oyeee!
ReplyDeletedogo hongera ka nondoz ila angalia usije ukaitumia kupigia roba mitaa ile ya ubungo maziwa, changanyikeni, na hata mbalizi, hahahaaaaaaaaaaaa..
ReplyDeletemkuu hongera sana kamua kwa mbele gymm boy hapa hope unajua wapi pa kukutana soon
ReplyDeleteHivi hiyo digrii ya PAN AFRICAN STUDIES ajira yake inapatikana wapi vile? Nimesahau naomba mwenye kumbukumbu anikumbushe.
ReplyDeleteAnonymous wa 04.09:00 inaoneka umekua 'brain eaten' sio tu 'brain washed' soma kuelimika, ukielimika utapata maarifa ya namna ya kutumia elimu yako. Try to be a job creator not a job seeker after your education. This is the tragedy of our education system in Tanzania. People suffer from normativity, no creativity. Think of what you will do with your education and not what your education will do for you.
ReplyDeleteYou gotta get a life pal.
Naimani huamini kama umemalizana na assignmants. Hongera sana kaka Bill kwa Nondoz.
ReplyDeleteFatma.
Hongera kaka, sikujuwa kuna Mtanzania mwanafunzi hapo, huwa navolunteer some project hapo chuoni, kusaidia wanafunzi. Hongera sana. Mtanzani mwenzio hapo Syracuse.
ReplyDeleteMdau hongera sana, shule muhimu..
ReplyDeleteHata mimi nina swali kama mdau hapo juu, degree ya Pan Africa Studies ina deal na vitu gani.. Social, Economic or Political. Au mdau kama huyu aliyemaliza tutapata msaada wake kwenye field zipi??
Please please no offense, just asking..
Watu akili kama hewa yaani hakuna, Mwenzio kuuliza anataka kujua haitaji kashfa maana unaweza kujiajiri na ukaajiriwa pia, hayo ulio andika nakuona we ndo mjinga na hujaulizwa tumeulizwa. Kama hujui nyamaza. Big up brother, but usifurahie makaratasi furahia hela
ReplyDelete