Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Dr. Didas Massaburi akiongea na vyombo vya habari kuhusu Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) itakayofanya mkutano wake mkuu wa mwaka wa 27 katika hoteli ya Kunduchi Beach hapa Dar es salaam. Mkutano huo ambao mwenyeji wake ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. David VillaMay 02, 2011

    Jiji chafu kama nini...Hizi gharana zingenunua pipa za taka na kuwekwa kila kona ya jiji badala ya kuangaika na hii mikutano au kulipia hata kipindi cha saa 1 kwenye TV ili kuelimisha watu wa DAR juu ya usafi..uswahilini huko hapafai yaani ni kuchafu..mtu anabeba uchafu nyumbani kwake usiku wa manane anaenda kutupa barabarani...!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...