Mwenyekiti wa Chadema Taifa Na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani BungeniMheshimiwa Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa Tunduma kwenye operesheni maalum ya chama hicho hicho maarufu kama Operesheni Sangara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2011

    si mchezo mpaka kieleweke,,.. combat nyeusi zinamaanisha nini

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2011

    Ah CHADEMAAAAA! chama Dume!long live Chama chetu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2011

    People's Power! Mnanikosha sana nyie CHADEMA hakya Mama!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2011

    Chadema safi sana nafurahi kuona mlivyokua karibu na wananchi. Jitahidini sana mfike na kwetu Kilosa pamoja na Korogwe watu tuna kiu sana ya mabadiliko.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2011

    People's power! mpaka kieleweke ili tuikomboe nchi yetu iliyopo mikononi mwa mafisadi wa CCM na kujivua gamba kwao! ila mie nisingependa CHADEMA ije kuwa pango la wanaokimbia CCM kwa ufisadi! tukumbuke CHADEMA ndio mliowafichua hao mafisadi, kwahiyo mkiwapokea mtaonekana wanafiki!

    CHADEMA kisiwe pango la mafisadi kutoka CCM!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2011

    Nadhani ingekuwa vizuri zaidi ukaandika hivi:Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni....kuliko kurudia neno 'na'...'na' kama ana nyadhifa ny/zingine mbili au tatu itakuwaje?na...na...na...na.Sawa na rafiki zangu wa "KWA KUWA....KWA KUWA....NA KWA KUWA...Blog ni pamoja na kuelimishana nisieleweke vibaya..Na huyo aliyeshikwa mkono na Bw. Mbowe ni Nani?

    David Villa

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2011

    Mi nawapenda sana Chadema jamani wanajua sana kupanga mashambulizi. Ninaomba mje na kwetu Mtwara ili tupate hiyo dozi. Yani MAFISADI mpaka wafe, CHADEMA OYEEEEEEEEEEE x 10000. I LUV YOU MBOWE & CHADEMA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...