Home
Unlabelled
Mkutano wa CHADEMA Tunduma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
si mchezo mpaka kieleweke,,.. combat nyeusi zinamaanisha nini
ReplyDeleteAh CHADEMAAAAA! chama Dume!long live Chama chetu.
ReplyDeletePeople's Power! Mnanikosha sana nyie CHADEMA hakya Mama!
ReplyDeleteChadema safi sana nafurahi kuona mlivyokua karibu na wananchi. Jitahidini sana mfike na kwetu Kilosa pamoja na Korogwe watu tuna kiu sana ya mabadiliko.
ReplyDeletePeople's power! mpaka kieleweke ili tuikomboe nchi yetu iliyopo mikononi mwa mafisadi wa CCM na kujivua gamba kwao! ila mie nisingependa CHADEMA ije kuwa pango la wanaokimbia CCM kwa ufisadi! tukumbuke CHADEMA ndio mliowafichua hao mafisadi, kwahiyo mkiwapokea mtaonekana wanafiki!
ReplyDeleteCHADEMA kisiwe pango la mafisadi kutoka CCM!
Nadhani ingekuwa vizuri zaidi ukaandika hivi:Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni....kuliko kurudia neno 'na'...'na' kama ana nyadhifa ny/zingine mbili au tatu itakuwaje?na...na...na...na.Sawa na rafiki zangu wa "KWA KUWA....KWA KUWA....NA KWA KUWA...Blog ni pamoja na kuelimishana nisieleweke vibaya..Na huyo aliyeshikwa mkono na Bw. Mbowe ni Nani?
ReplyDeleteDavid Villa
Mi nawapenda sana Chadema jamani wanajua sana kupanga mashambulizi. Ninaomba mje na kwetu Mtwara ili tupate hiyo dozi. Yani MAFISADI mpaka wafe, CHADEMA OYEEEEEEEEEEE x 10000. I LUV YOU MBOWE & CHADEMA
ReplyDelete