Balozi Peter Kallaghe akiwa na maofisa toka PPF na Urban Pulse
Jopo la wataalamu likiwa tayari kuendesha mkutano katika siku ya mwisho
Meneja wa Operesheni wa NSSF Bw. Crenscius Magor akifuatilia mkutano kwa makini
Afisa kutoka NSSF Bi. Rehema Chuma akitoa mada kuhusu huduma mpya ya mfuko huo ambapo hata waishiyo nchi za nje watanufaika
Mwenyekiti mstaafu wa Tan-UK na Mkurugenzi Mtendaji wa Swiss Freight Bw. Aboubakar Faraji akichangia mada
Mwenyekiti wa Zanzibar Welfare Association (ZAWA), Bw Hassan, akichangia mada
Bw. Ally Kondo, Afisa habari toka Wizara ya
Jopo la wataalamu likiwa tayari kuendesha mkutano katika siku ya mwisho
Meneja wa Operesheni wa NSSF Bw. Crenscius Magor akifuatilia mkutano kwa makini
Afisa kutoka NSSF Bi. Rehema Chuma akitoa mada kuhusu huduma mpya ya mfuko huo ambapo hata waishiyo nchi za nje watanufaika
Mwenyekiti wa Zanzibar Welfare Association (ZAWA), Bw Hassan, akichangia mada Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akihojiwa
Mkrugenzi wa Masoko wa Commercial Bank of Africa (CBA) Bw. Aron Luhanga, akihojiwa kuhusu huduma ya benki hio
Da'Patricia toka Kituo cha Uwekezaji (TIC) akiwa mkutanoni

Da'Patricia toka Kituo cha Uwekezaji (TIC) akiwa mkutanoniKutoka kushoto Mh. Ibrahim Sanya (Mbunge - CUF) ,Mh. Vicky Kamata (Mbunge - CCM), na Balozi wa Tanzania - UK,Mh. Peter Kallaghe wakifuatilia mkutano hupo.
Balozi wa Tanzania - UK,Mh. Peter Kallaghe akifunga Mkutano wa tatu wa Diaspora III uliokuwa ukifanyika huko nchini Uingereza.
Bw. Salum Shamte Kutoka Kilimo Kwanza

Mheshimiwa balozi wetu hapa uk, jee unajua kama ile bendera inayopepea pale ubalozini tanzania house imechakaa sana? ni lini itabdilishwa au japo kufuliwa? ahsante sana
ReplyDeleteMtanzania
London