Miss Tanzania 2010,Geneveive Emmanuel akiwa amempakata mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Uyacho ambao mama zao waliwazaa na kuwatupa barabarani. mtoto huyo amebatizwa jima la Asimwe Sadati mtoto huyo baba yake hajulikani jina alipewa jina la mlezi wa kituo ambaye ni sadati, kullia ni Msaidizi wa Miss Tanzania Zakhia Ally naye akiwa amemkumbatia mtoto alitetelekezwa pia.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...