Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa Elimu Mtandao unaolenga kuimarisha matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwa maendeleo , Elimu na mafunzo jana jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na washiriki wa mkutano wa kimataifa wa Elimu Mtandao unaolenga kuimarisha matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwa maendeleo , Elimu na mafunzo
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa kimataifa wa Elimu mtandao wenye lengo la kuimarisha matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwa maendeleo , Elimu na mafunzo
Naibu mawaziri wa Tanzania Charles Kitwanga (katikati) kutoka Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia na Athuman Mfutakamba (kulia) wa Wizara ya Uchukuzi wakibadilishana mawazo na Bw. L.D.K Dokora kutoka Wizara ya Elimu Zimbabwe wakati wa mkutano huo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mlimani City kufungua Mkutano wa kimataifa wa Elimu mtandao wenye lengo la kuimarisha matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwa maendeleo , Elimu na mafunzo
Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Kwani Tanzania usalama umekuwa ishu? mbona viongozi wanakuwa na list kubwa ya hawa vijana (ambao wanaonekana mbele mbele)?
ReplyDelete