
Dear Kaka Michuzi
WIZI ULIOTOKEA KIMARA TEMBONI (DAR ES SALAAM,
TANZANIA) SIKU CHACHE ZILIZOPITA
Siku chache zilizopita nilituma message isemayo wizi uliotokea KIMARA TEMBONI.
Naomba uniwekee picha ya saa zilizoibiwa. Hii ni saa mojawapo iliyoibiwa. Saa mbili ziliibiwa ya kike na ya kiume zote ni gold plaited. Tafadhali wananchi wenzengu yeyote atakae uziwa tafadhali atufahamishe, tupo tayari hata kuzinunua tena kwa hiyo bei aliyouziwa. Saa hizo zina majina yao.
Contact tel nos 0716 842299 na 0715 66 46 98
Asante sana Kaka michuzi
Mdau Switzerland
Ndugu yangu kwanini unahangaika? ni mgeni nyumbani? Just simple...have a courage and "let bygone be bygone"..Mwezi February nikiwa nyumbani Dar wakati natengeneza kioo cha gari nilijiona mjanja kwa kuficha simu yangu iliyonigharimu kiasi kikubwa cha pesa chini ya kiti cha gari..nadhani kuna kijana kati ya wasaidizi wa fundi alini"time" na hivyo kula bingo.yaani alitia ndani ile simu..inaniuma hadi kesho..huwa nafikiri mara elfu ningempa hiyo hela huyo huyo kijana akasomee ufundi wa magari VETA..lakini hiyo simu haitamsaidia kutokana na mazingira ya kazi yake na pia hata hakiuza hatapata zaidi ya asilimia 30% ya bei..All in all, that's Bongo..that's our home and that's why mimi huwa sishangai hata nikipita Airport za wenzetu wananikagua sana..kutokana na rangi yangu..nadhani wananihisi hata mimi mwizi kwa rangi yangu..lakini kwa mazingira ya maisha yetu bongo.. I deserve it! Pole sana ndugu yangu..
ReplyDeleteNakupa pole sana , ilani kama zitapotea kabisa ni vema kuwatengenezea nyingine kama hizo, japo kumbukumbu ya asili haiwezi kufutika kichwani.
ReplyDeleteIla kwa kuwa suala hili linahusiana na mali nilikuwa nawahimiza kuandika wosia, mimi nafanya kazi hizo, pamoja na hayo ninasaidia katika kufuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kuupeleka mahakamani au benki kwa kuuhifadhi. Mawasiliano piga simu namba 0762-372307
Mdau poloe sana, usipoteze muda wa kutafuta vitu ambavyo ni ngumu kupata, kwani si ziko za nyingi? Nunua nyingine tu ndugu, tena unaweza kujikuta unatapeliwa zaidi!
ReplyDeleteaisee pole saana saana ila ukweli kupata hizo saa ni ngumu labda mtu awemuaminifu mimi nilibiwa laptop mpya yani ndio nimetoka dukani kuinunua lakini wajanja wakantime traffic lights nakuniibia aisee we samehee tuu maana unaweza tapeliwa naawa vijana wa mjini
ReplyDelete