Natumaini hakuna kwikwi kwa upande wako. Mimi niko Cool mkuu.

Tafadhali nimetindikiwa kidogo kifedha na ninayo electric organ (hiyo pichani). Nikaona nikuombe unitangazie kama atapatikana mnunuzi nipate kujikimu. Organ inafaa sana kwa kwaya au personal use. Kinanda hiki ni used lakini in a very swanky state. Believe me u, u'll love it.

Napatikana kwenye simu: 0652 462 044, 0713 540 328

E-mail yangu naomba uitie kapuni mkuu.

Mungu akubariki sana uendeleze libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2011

    Da Kinanda kinaonekana ni kizuri sana,thanx mkuu kwa kuweka wazi kwamba una kwikwi na majotro kwenye mfuko..

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2011

    HICHO CHOMBO CHAKO USED HUJATANGAZA BEI,MBONA KAMA UNAOGOPA AU KABOVU.USHAURI WANGU NAKUOMBA UWAWEKE WATOTO KAMA ASSET BAADAYE KAMA CHOMBO KIZIMA,UTAPATA MTOTO ATAKAYE CHUKUWA NAFASI YA DOCTOR RAMY.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2011

    Jamani I wish ningekua Tanzania sasa hivi. Ni shiling ngapi unakiuza? Sijui naweza kumtuma mtu aje akione. Kiko sehemu gani? Hata kama kinahitaji turning hicho ni piano nzuri sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2011

    tangaza bei kiongozi acha woga watu tujue tunakihitaji au laa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2011

    Organ inaonekana iko safi.hata kama umetoa namba ya simu ili tuongee nawe lakini ni vema kudokeza bei,aina gani,uwezo wa speaker zake, made in,kina transipositon system au vipi,sisi wadau wa kwaya za RC ndo hasa kifaa chetu hicho cha Muziki.mate yamenitoka mkuu kwa sababu najua kutumia chombo hicho vizuri.fanya hivyo usiogope.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...