Home
Unlabelled
mtego
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tafadhali
ReplyDeleteKuuliza zi ujinga
How does this mtego wa panya work
Can anyone post internet links so that I can educate myself
Wakatabahu
Ndugu anon wa kwanza hapo juu..
ReplyDeleteHuu mtego unafanya kazi kama ifuatavyo:
1. Funga kamba ncha moja kwenye mtego, ncha nyingine kwenye kitu fixed chenye uzito wa kutosha kutoburuzwa na panya - kama vile mguu wa kitanda.
2. Paka mchuzi kwenye mtego ili mtego uwe na harufu ya chakula kumvutia panya.
3. Mtego umekamilika. Endelea na shughuli zako kama ni usiku kalale. Panya akija atadhani ni chakula atang'ata. Aking'ata tu meno yake yatang'ang'ania kwenye mtego hawezi kukimbia.
4. Cheki asubuhi ukiamka kama kuna panya alinyeng'ata utamkuta mzima anakukuruka kutoka. Fungua mtego nenda kamuue nje, au mtupe jalalani kama unaogopa kuua panya. Unaweza ukasubiri wabeba takataka wakipita unawapatia huyo panya mzima mzima
BONUS: Kama wewe ni mzee wa chamaki nchanga utakuwa umejipatia kitoweo swaaafi bure kabisa.