
Waziri wa Ujenzi Mhe John Pombe Magufuli (wa pili kushoto) and Balozi wa EU nchini Mh. Tim Clark (wa nne kushoto) wakijiandaa kuongoza mbio za baisekli katika kuadhimisha wiki ya kujitolea inayoambatana na kuadhimisha mwaka wa kujitolea Umoja wa Ulaya nchini

Mbio hizo za baiskeli zikielekea Kinondoni Moscow

Furaha ilioje kupatazawadi ya baiskeli kwa mdau huyu

Mmoja wa walemavu waliozawadiwa baiskeli za miguu
mitatu Fatuma Mlinga akifurahia zawadi yake.
Picha na mdau I. Msafiri


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...