Kweli Mtwara Kuchile (kumekucha kwa kimakonde). Hiyo ni miss Mtwara Mjini iliyofanyika katika Ukumbi wa makonde Beach Club mwishoni mwa wiki iliopita. Mshindi ni Rahma Swai, wa Pili Felista Phlip, watatu Pricila Abdallah, wa nne Shamim Ngonyani na watatu ni Stellah mkoma aliyevaa Nyeusi.
Washindi wakiwa na mdhamini wao Mkurugenzi mkuu wa Taris Adventure (anayemiliki Safari Radio FM na Makonde Plateau pure drinking water)Bw Haroun Maarifa akiwa benet na meneja utawala wake Bi Jerushe Weiver. Picha na Mdau
Nassir Zahir. mapumzikoni Mikindani Mtwara


Tanzania. Tanzania... Beautiful women!!!!!
ReplyDeletewadada mmependeza.kazeni buti mpaka nchi za nje
ReplyDelete