Kweli Mtwara Kuchile (kumekucha kwa kimakonde). Hiyo ni miss Mtwara Mjini iliyofanyika katika Ukumbi wa makonde Beach Club mwishoni mwa wiki iliopita. Mshindi ni  Rahma Swai, wa Pili Felista Phlip, watatu Pricila Abdallah, wa nne Shamim Ngonyani na watatu ni Stellah mkoma aliyevaa Nyeusi.
Washindi wakiwa na mdhamini wao Mkurugenzi mkuu wa Taris Adventure (anayemiliki Safari Radio  FM na Makonde Plateau pure drinking water)Bw Haroun Maarifa akiwa benet na meneja utawala wake Bi Jerushe Weiver. Picha na Mdau
Nassir Zahir. mapumzikoni Mikindani Mtwara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2011

    Tanzania. Tanzania... Beautiful women!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2011

    wadada mmependeza.kazeni buti mpaka nchi za nje

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...