o
Hafla ya kuadhimisha siku ya uwashwaji mishumaa ili kuwakumbuka watu waliopoteza maisha kutokana na ugoinjwa wa Ukimwi. Maadhimisho haya yaliyoandaliwa na MUHAS pia yalishirikisha wadau mbalimbali kutoka taasisi na NGO's zinazopinga maambukizi mapya ya VVU nchini na kufanyika chuoni hapo leo. Tembelea libeneke la chuo hiki: BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...