Rais Jakaya Kikwete akifunga rasmi semina elekezi kwa viongozi na watendaji wakuu wa Serikali, mjini Dodoma leo. Kulia ni Jaji Mkuu Mh. Othman Chande.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Ezekiel Maige akielezea kwa wandishi wa habari mafanikio ya semina hiyo elekezi.
JK na Jaji Mkuu wakiondoka baada ya semina kumalizika leo mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi akielezea kwa waandishi wa habari, hatua watakazochuliwa kwa viongozi watakaokiuka maazimio ya semina elekezi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo (kulia), akiwa na Mshauri wa Uchumi wa Rais Bi. Elsie Kanza, wakitoka kwenye ukumbi baada ya semina elekezi kumalizika leo.
Picha zote na Kamanda wa Matukio Richard Mwaikenda
How much this event costed the taxpayers
ReplyDelete